Habari

Lebanon: Wakazi wenye hasira wa mji wa Beirut, waitaka Serikali kutoa majibu haraka kuhusu mlipuko uliotokea

Wakazi wa mji wa Beirut sasa wameonyesha ghadhabu dhidi ya serikali kuhusu kile wanachosema ni uzembe uliosababisha mlipuko mkubwa siku ya jumanne. Wengi wamelaumu serikali kwa ufisadi, uzembe na usimamizi mbaya.

‘Beirut inalia , Beirut inapiga kilele, watu wamechoka, mtengeneza wa fimau Jude Chehab aliambia BBC, akitaka watu waliohusika kukabiliwa kisheria.Chadia Elmeouchi Noun, mkaazi wa Beirut alie hospitalini, alisema: Nimejua wakati wote kwamba tunaongozwa na watu wasioweza kuongoza, lakini nakwambia kitu kile walichofanya sasa ni uhalifu mkubwa.

https://www.youtube.com/watch?v=js25-yY_1xY&t=6s

https://www.youtube.com/watch?v=x18sb7-UmMM

https://www.youtube.com/watch?v=Bm7qNvziIEs

https://www.youtube.com/watch?v=lkfhbebkysM

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents