Michezo

RASHIDI MATUMLA: Asema ngumi baasi tena.!

 


Baada ya Rashidi Matumla kula kichapo na Mada Maugo katika mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA jijini Dar jana, Rashidi Matumla atangaza kustaafu mchezo huo na kuwa kocha wa ngumi.


Katika pambano hilo Maugo alishinda kwa pointi. Hatua iliyomfanya mkongwe huyo kutangaza kustaafu na kuwa kocha wa ngumi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents