Michezo

Singida United yamtakia kila la kheri mchezaji wake Lubinda Mundia ‘Tunajivunia kufanya kazi na wewe’

Klabu ya Singida United hii leo imemtakia kilalagheri aliyekuwa nyota wake raia wa Zambia, Lubinda Mundia baada ya kuitumikia timu hiyo kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea klabu ya Red Arrows ya Zambia.

Askari wa Jeshi la Anga la Zambia @lubinda.mundia ambaye alikuwa mchezaji wetu kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Red Arrows ,amereja kuitumikia timu yake ya Zamani baada ya mwaka mmoja wa mkopo kumalizika.

Thank you @lubinda.mundia for your service, we are proud to work with you. Lubinda (kushoto) akiwa na wenzake mara baada ya kuungana nao.

https://www.instagram.com/p/BpWMmARHDVg/?taken-by=officialsingidaunitedfc

Mundia anayeitumikia timu ya taifa ya Zambia ‘Chipolopolo’ alikamilisha usajili wa kutua Singida United majira ya usiku wa tarehe 15 /09 / 2017 kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Red Arrows ya Zambia.

https://www.instagram.com/p/BiCBlE2HtC4/?taken-by=officialsingidaunitedfc

https://www.instagram.com/p/Bcu8twBjUOA/?taken-by=officialsingidaunitedfc

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents