Bongo5 Exclusives

Tahadhari: Picha za faragha zinazowekwa Facebook hutumiwa na mitandao ya ngono

Wakati msichana anapoweka picha ya faragha kwenye profile yake inayoonesha mapaja yake ama viungo vingine vya siri na kusifiwa na washkaji kwa comments kama ‘wewe ni mrembo sana’ ni bora akatambua pia kuwa picha yake hiyo inaweza kuwa chakula kizuri kwa mitandao ya ngono, kwa mujibu wa utafiti.

Kuna onyo kwamba unapoweka picha za aina hiyo kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, kuna uwezekano mkubwa wa picha hizo kuchukuliwa na kutumiwa kwenye ‘hardcore porn websites’.

Jarida la Newsbeat limebaini kuwa asilimia 88% ya picha na video 12,000 zilizowekwa na watumiaji wao wenyewe na kupatikana na taasisi ya The Internet Watch Foundation zimeibiwa na kutumika kwenye mitandao ya ngono.

Kuwa mwangalifu!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents