Bongo Movie

Tamasha la ZIFF laiva

Ziff_wadahaman

Tamasha la Filamu la Zinzibar , Zanzibar International Festivel Film,  limeanza mikakati ya kuanza baada ya kufanya ufunguzi katika Hoteli ya Moven Pick na kuhudhuliwa na wadau mbalimbali.


Katika tamasha hilo, waliweza kuhudhulia wasanii na wadau wengine wa filamu na mitindo, ili kuunga mkono kwa juhudi za kuendeleza tamasha hilo kwa la ZIFF la 14….

Ziff_watu

Wadau wakifuatilia filamu ambayo ilikuwa ikionyeshwa….

Ziff_wasichana

Ziff_Warembo

 

Ziff_tht

Amini akiwa na wasanii wenzake toka THT, wakifuatlia filamu katika ukumbi wa Moven Pick, baada ya kutoa buludani

Ziff_Mussa

Anajulikana kama Musa  aliyekuwa akitangaz katika stesheni fulani katika kipindi cha Uswazi, naye alikuwepo kama mdau wa filamu

Ziff_Hasanali

Mwanamitindo Hassanali naye alikuwepo katika kuunga mkono filamu za Tanzania

Ziff_Fid_Q

Faridi Kubanda aka Fid Q, mwanamuziki wa Hip Hop nchini, naye alikuwepo kuwakilisha wanamuziki wenzake wasio kuja.Ziff_Ditto

Ditto wa THT

Ziff_Ay

Ay

Ziff_Barnaba

Barnaba naye alikuwepo akiwa miongoni mwa wasanii waliokuja kubuludisha pamoja na wenzake wa THT

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents