Makala

Vanessa Mdee’s hot deal on Universal Music Group

Pop Star, Vanessa Mdee festive season couldn’t get any better! She has joined unique sign to Universal Music Group, Guys, this is not just any deal but on the biggest especially knowing she is the first African to be signed.

Image result for vanessa mdee

She expressed,’ Kama ilivyo ada, tunaanza kwa kumshukuru mwenyezi mungu kwa baraka zake na kibali chake cha kutufikisha siku njema ya leo.Nawashukuru mashabiki wangu, ndg, jamaa na marafiki wa karibu, tuliokuwa sambamba tangu mwaka unaanza mpaka hivi sasa tukielekea ukingoni.

Nimeona niitumie siku na fursa hii kuwajulisha wapendwa mashabiki zangu; Mwanzoni mwa mwaka huu, 
Nilipitia changamoto nyingi Sana lakini kwa neema za Mungu , Nilitoka mahali pale na sio kuona baraka tu bali na maajabu mengi yaliyotokea kwenye maisha yangu . Ikiwemo kuwa mmoja wa familia ya Universal Music Group in a unique joint signing between @universalmusicgermany @airforce1 and @universalmusicgroup na hii ni mara ya kwanza kwa Msani wa Kiafrika kupata deal ya aina hii yenye mkwanja mrefuuuuuuuuuuu sana . Hii ni habari njema kwa mashabiki wangu na ndiyo kwanza tumeanza. Mambo makubwa zaidi yanakuja . Kumbuka kila mwisho wa Jumapili ndiyo mwanzo wa Jumatatu, usiogope kuanza upya.’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents