Burudani
Video: Chris Brown asema hayupo tena na Rihanna
Chris Brown amethibitisha kwenye mahojiano na kituo cha radio cha jijini Los Angeles, Power 106 jana kuwa yeye na Rihanna wameachana tena.
Chris aliweka wazi baada ya kuulizwa swali, ‘Are you still with Rihanna?’ Na kujibu ‘Uh, no – that’s the short answer,’.