Burudani ya Michezo Live

Wasanii wa BongoMovie wakagua viwanja walivyoahidiwa na KC (Video)

Wasanii wa Uzalendo Kwanza wakiongozwa na Steve Nyerere waishukuru kampuni ya KC inayojushughulisha na mavazi.

Hayo yamejiri Jumamosi hii wakati wakizungumza na waandishi wa habari baada kupata deal la viwanja vya nyumba kutoka kampuni ya @kc_land_plan_ kuvitembelea huko Kigamboni Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW