AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Washindi wa Mini ZIFF Red Capert New Maisha Club

Mini_Ziff_face

Tamasha la Mini ZIFF Red Capert jana lilifanyika kwa mbwembwe zote kwa kutoa wasanii ambao walifanya vizuri katika mwaka uliopita jambo ambalo limeonyesha wazi kwamba tamsha hilo ambalo lenyewe litafanyika hapo baadae litakuwa na ushindani mkubwa sana. Baadhi ya wasanii ambao walitwa tuzo hizo ni Cloud 112 ametwa kama muongozaji bora wa filamu, Zoba msanii anayechipukia, Kanumba kachukua tuzo mbili, msanii bora wakati Ray kachukua tuzo moja, filamu bora ikaenda kwa Jb,Pilipili wamechukua tuzo moja, Rose Ndauka na wengine.

Mini_Ziff_At

Zaidi ya mtanange huo wa kutolewa kwa tuzo pia kulikuwa na mtanange mwingine kutoka kwa AT na Off side trick, yaani hapo alidondoshwa Bata, Samaki, Kidudu mtu kisha wakacheza na Bao la kete, yote hayo yalijiri jana pale Maisha Club..

mini_Ziff_at_mauno

mini_Ziff_Off_Side

Mini_Ziff_Off_Side_lil_Getho

Hawa ni Off Side Trick wazee wa Midege

Mini_Ziff_Mtitu

Mini_Ziff_warembo

 

mini_ziff_Cloud

Cloud 112 akitwa tuzo yake

Mini_Ziff_Jb

 

Mini_Ziff_Jenifa

Mini_Ziff_magari_na_chilo

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW