Habari

Waziri Ummy alaani kitendo cha mwalimu kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la 7

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amelaani kitendo cha mwalimu wa shule ya msingi Samanzi iliyopo wilayani Kalambo mkoani Rukwa, kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la saba.

Soma taarifa hiyo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents