Soka saa 24!

Yanga wakata keki Nyumbani Lounge

Nurudini_Bakari

WACHEZA wa timu ya Yanga Sport Club waliamua sherehe yao kuimalizia Nyumbani Lounge , kwa Lady Jay Dee kwa kuwaalika wadau mbalimbali wa timu hiyo kwa kushangilia kwa pamoja kombe walilolivua kwenye uwanja wa Taifa katika mashindano Ya Kagema kwa kuifunga Simba bao1 bila.

Katika kuonyesha ushirikianao wao na wasanii mbalimbali wa filamu, waliwaalika kwa wingi huku wengine wakiwa wa timu ya Simba lakini wakasema karibuni. Baadhi ya picha wasanii walivyokuwa wakienjoy..

yanga_Canavaro

hapa Salum Shebe na Cannavaro wakiwa kwenye pozi kama hivi.

Yanga_Aunt_Ezekiel

Aunt Ezekiel na Shebe kwenye pozi la pamoja

yanga_Chopa

Chopa Mchopanga, naye aliamua kula pozi la kihivi….

Yanga_Habash

Gadner akiwa kwenye shughuli ya kuwakarimu wageni wake kwa kuhakikisha huduma inakwenda vizuri hapo kwenye Raustarant ya Nyumbani Loudge

Yanga_Hatman

Mwigizaji wa fila Hatman, akipata kinywaji

Yanga_jb_Kanumba

Ikafika zamu ya Kanumba na Jb kutoa usia kwa niaba ya wasanii wenzao wa filamu

Yanga_jide

Mwanamuziki Judith Wambura, akiwa kwenye pozi, kuhakikisha mambo yanaenda sawa kwa kumsaidia mumewe Gadner kwenye shughuli nzima .

Yanga_Kate

Wasanii wa Bongo Movie, wakiwa kwenye pozi la pamoja kuhakikisha wanawaunga mkono Yanga wakiongozwa na Kate

Yanga_Kifukwe_jb

Jb akitoa wosia wake kama mchezaji wa Simba ambaye amewawakilisha wasanii wake wa Simba, akiwa na Kifukwe.

Yanga_kofia

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW