Michezo

Balotelli ajiandaa kurudi kwenye klabu yake ya zamani, AC Milan

Mchezaji mtukutu asiyeishiwa visa na vituko, Mario Balotelli anajiandaa kurudi AC Milan kwa mkopo kutoka Liverpool.

mario1

Mshambuliaji huyo hivi sasa anafanya mazoezi peke yake katika klabu yake ya Liverpool akijiandaa kurudi katika klabu yake ya zamani ya AC Milan.

mario2
Kocha wa AC Milan, Sinisa Mihajlovic

2BA4B25800000578-3209049-image-a-1_1440496287259

Kwasasa yupo mchezaji huyo yupo nchini Italia kuzungumza na kocha wa AC Milan Sinisa Mihajlovic pamoja na kufanyiwa vipimo vya afya.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents