Siasa
Picha: Barack na Michelle Obama washerehekea miaka 23 ya ndoa
Ni miaka 23 tangu Rais wa Marekani, Barack Obama afunge ndoa na mke wake, Michelle.
Obama na First Lady waliofunga ndoa October 3, 1992 kwenye kanisa la Trinity jijini Chicago, walisherehekea miaka hiyo ya ndoa yao Jumamosi.
Kupitia Twitter, Obama aliandika:
Twenty-three years and still going strong. Here's to many more. #HappyAnniversary pic.twitter.com/EdEvqUF0s7
— Barack Obama (@BarackObama) October 3, 2015
Happy Anniversary, @POTUS and @FLOTUS! pic.twitter.com/XeCVPhd0l8
— The White House (@WhiteHouse) October 3, 2015
Hizi ni baadhi ya picha zao: