Burudani

Video: Nikimuangalia Vanessa naona kuna kazi ya ziada – Lulu Diva

Msanii wa Bongo Flava, Lulu amefunguka na kusema Vannesa Mdee ni msanii ambaye akimuangalia anajiona bado anatakiwa kuweka nguvu zaidi katika muziki wake.

Hitmaker huyo wa ngoma ya Usimuache, ameiambaia Bongo5 kuwa sababu ya yeye kuamini hivyo ni kutokana Vanessa ameshaufikisha muziki wake mbali.

“Nikimuangalia Vee kwa sababu yeye tayari ameshapeleka muziki wake international, ameweza kiji-brand kubaki pale alipo, so nikumangalia naona ok, hapa kuna kazi ya ziada,” amesema Lulu Diva.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents