Muziki
Muziki: Beka Flavour – Umenimaliza
Wakati akiendelea kufanya vizuri na ngoma ‘Sikinai’, msanii Beka Flavour ameachia ngoma yake mpya ‘Umenimaliza’, producer wa ngoma hii ni Max Maizer.