Siasa
Joshua Nassari achukua fomu kutia nia kugombea jimbo la Arumeru baada ya kuhamia CCM akitokea CHADEMA
Joshua Nassari amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Arumeru kupitia Chama cha Mapinduzi CCM,
Awali kabla hajavuliwa Ubunge na Spika Ndugai, Nassari alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cah Demokrasia na maendeleo CHADEMA.