20 Per Cent ameweka wazi kuwa yeye hataki kufanya collabo n aHarmonize tu bali anataka afanye na wasanii wanne ambao ni Alikiba, Diamond, Harmonize na Rayvanny.
Kama ntawakosa wote bora niache. – @twenty_power789