Shabiki wa Yanga SC amesema kuwa amekuja Uwanja wa Mkapa kiwasapoti Simba SC kwenye mchezo wa leo dhidi ya Red Arrows. “Nilianza kuupenda mpira alafu ndiyo nikachagua timu,”- Shabiki wa Yanga adai yeye sio kama wale wengine wanaoshabikia timu pinzani za nje bali Taifa kwanza na kwake imekuwa rahisi sababu alianza kuupenda mpira kisha ndiyo akapenda timu.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
MUSIC AUDIO: Wakateezo Ft Msami – MUZIKI5 days ago
-
MUSIC AUDIO: Zuri Music – RAHA2 weeks ago