Burudani

Adam Juma: Tujifunze kukosoa kwa kurekebisha na kutoa muongozo sahihi, kupongeza panapo stahili

Muongozaji wa video Tanzania, Adam Juma ametoa maoni yake kuhusu mapokeo ya video mpya ya Alikiba ‘Chekecha Cheketua’, na kushauri watu wasiwe wepesi kuponda jitihada za wasanii wetu na badala yake kukosoa kwa kurekebisha pale panapostahili.

Adam Juma

Baada ya video ya hiyo kutoka wiki hii kumekuwepo na maoni tofauti kutoka kwa mashabiki, na hicho ndio kimempelekea Adam Juma kutumia akaunti yake ya Instagram kuandika ujumbe huu:

“Tanzanias are too quick to judge things, kibaya zaidi wachache wenye upeo wa kuelewa kitu mnakurupuka tu!! Hamjui tafauti ya kibaya wala kizuri, kibaya mtakiita kizuri na kizuri ni kibaya kisa mshazoeshwa kula pumba!!! Tunavunja moyo sana, haya sawa video inamapungufu lakini sio kusema “MBOVU HOVYO HAIFAi”! Katika sanaa kuna vitu vingi watu wanapitia mpk kufika sehemu flani msilaZimishe mtu aruke hatua!!! Tujifunze kutoa shukurani, kukosoa kwa kurekebisha na kutoa muongozo sahahi, kupongeza panapo stahili. Mawazo yalio ambatanishwa na chuki binafsi hayajengi. Yes mapungufu yapo but jitihada imeionekana @kiba!!!!!!!!! Amazing alexa ndio imeshot hii video!!! Dont stop doing what u doing, believe n trust ur faith!!! Huwezi kufurahisha dunia nzima mwana bali ridhisha nafsi yako kwanza!!! Hata dini zilipigwa na binadamu km hawa waleo!!! Love n peace”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents