Burudani

Akon atawapa waafrika milioni 600 umeme wa jua, vyombo vya habari vya US havioni kama ni habari – Chris Brown

Chris Brown amevichana vyombo vya habari vya Marekani kwa kupuuzia mradi wa Akon wa kusambaza umeme wa jua kwa waafrika milioni 600 na kuandika masuala mengine yasiyokuwa na faida.

11335142_1447088822254821_121417306_n

Ametolea mfano jinsi ambavyo habari ya Bruce Jenner kujibadilisha kuwa mwanamke ilivyochukuliwa kwa uzito kuliko mradi wa Akon.

cb-jenner-meme

Hata hivyo kauli hiyo ambayo aliisema kwenye mtandao wa Instagram imemletea matatizo kutoka kwa watoto wa Bruce, Kyle na Kendall Jenner.

kylie-chris-comment

Kyle alicomment kwenye picha hiyo aliyoiweka Chris Brown na kuandika: Not very nice to say about your friend’s dad.”

“State what you want about the world without bashing others. Leave a positive impact,” aliandik tena Kyle kwenye Twitter.

Chris Brown ameifuta picha hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents