Burudani

Albamu ya Jay Z yatua sokoni

Albamu ya rapper Jay Z imeanza kupatikana leo ikiwa zimepita siku kadhaa tangu alipoutambulisha ulimwengu kuhusu ujio wa album yake hiyo ya 13 iitwayo, 4:44.

Inadaiwa kuwa kati ya ngoma 10 ambazo zinapatikana katika albamu hiyo zimetayarishwa na producer No I.D.

Albamu hiyo imewakutanisha wasanii kama BeyoncĂ©, Frank Ocean, Damian Marley, Kim Burrell, The-Dream na inanyimbo kama vile ‘Bam’, ‘4:44’, ‘Marcy Me’, ‘Smile’, ‘Legacy’ na nyingine.

Kwa sasa albamu hiyo imeanza kuipatikana kwenye mtandao wa Tidal.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents