Alikiba ampiku Diamond Youtube, aweka rekodi viewers mil 1 ndani ya masaa 12 (+ Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba ameweka rekodi mpya baada ya ngoma yake ya #Jealous aliyomshirikisha msanii kutoka Nigeria @iammayorkun kufikisha viewers milioni moja ndani ya masaa 12.

Siku ya Jana ngoma iliyokuwa inashirikilia rekodi hiyo kwenye muziki wa Bongo Gleva ni #Iyo ya @diamondplatnumz ambayo ilifikisha milioni moja ndani ya masaa 13.

Related Articles

Back to top button