Burudani

Alikiba na Sauti Sol washoot video yao Mombasa

Hatimaye Alikiba na Sauti Sol wameshoot video ya collabo yao.

1530642_1506253529684165_1935307396_n

Video hiyo imefanyika wiki hii mjini Mombasa, Kenya. Kampuni ya Gorilla Films iliyochini ya muongozaji Justin Campos na mke wake Candice, ilisafiri hadi Mombasa kwaajili ya kushoot video hiyo.

Candice alishare picha ya behind the scenes kwenye Instagram na kuandika: Guess what we have been up to? @sautisol @iamchimano @bienaimesol @officialalikiba @gorilla_films @icandicam #Mombasa #kenya [movie_camera] [sunglasses] #onset #setlife #tanzania #africa #anotherone.

Collabo hiyo ilifanyika mwaka jana jijini Nairobi, Kenya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents