Mahojiano

Bonga afunguka yote yaliyopelekea kuacha kufanya kazi za Harmonize – Video

Aliyekuwa Producer wa @harmonize_tz ambaye kwa sasa ameacha kufanya nae kazi @officialbonga_ amefunguka kiundani kilichomtoa .

Akiongea na Bongo5 @official Bonga_ ameeleza kuwa aliamua kuondoka kwa sababu aliyokuwa anaahidiwa hakutimiziwa lakini pia hakuwahi kunufaika na chochote kutokana na ngoma kali alizowahi kumtengenezea HARMONIZE

Baadhi ya ngoma alizowahi kuzitengeneza BONGA za @harmonize_tz ni pamoja na UNO, NEVER GIVE UP, MAMA, ATARUDI, KUSHOTO KULIA, ONE NIGHT ya @ibrahh_tz na nyinginezo.

@officialbonga_ ameongeza kuwa mpaka anafikia uamuzi wa kuacha kufanya kazi na @harmonize_tz alifukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi na kuanza kulala studio lakini @harmonize_tz alikuwa anaona ni sawa kuwa mfanyakazi ana lala kazini.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents