Michezo

Aubameyang afanya matanuzi ya kufa mtu licha ya Arsenal kupoteza Carabao Cup

Baada klabu ya Arsenal kupokea kipigo cha mabao 3 – 0 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa fainali wa EFL siku ya Jumapili, Straika wake ghali Pierre – Emerick Aubameyang ameonekana akifanya matanuzi na mpenzi wake hapa jana Jumatatu bila wasiwasi kama hakuna alichopoteza siku iliyopita.

Walichosema Wenger na Guardiola baada ya Carabao Cup (+picha)

Matarajio ya wadau wengi wa mchezo wa soka nikuwa Aubameyang angekuwa na mawazo walau kwa kipindi kifupi baada ya kupoteza taji hilo lakini hali sivyo ilivyotarajiwa baada ya staa huyo wazamani wa Borussia Dortmund aliyesajiliwa kwa pauni milioni 56 mwezi Januari kuonekana mitaa ya Nobu Berkeley akifanya matanuzi yeye na mpenzi wake Alysha Behague.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents