Burudani

Kim Kardashian amuonyesha Chicago mtandaoni

Star wa kipindi cha runinga cha ‘Keeping up with Kardashians’, Kim Kardashian ametumia nafasi aliyonayo ya umaarufu kumtambulisha rasmi binti yake Chicago West .

Mtoto huyo ambaye alizaliwa mwezi mmoja uliopita kwa njia ya kumpandikiza mbegu mwanamke ameonyeshwa na Kim kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram na kuandika “Baby Chicago”.

Chicago West ni mtoto watatu wa Kim Kardashian na Kanye West, lakini atakuwa ni mtoto wa pili wa kike baada ya dada yake North mwenye miaka minne.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents