Videos
Audio/Video: Azma feat Ciana – The Closer I Get to You
Rapper kutoka Tamaduni Muzik, Azma Mponda ameachia audio ya wimbo wake The Closer I get to you aliyomshirikisha, Ciana. Video ya wimbo huo ilianza kutoka. Ni wimbo uliotengenezwa kutokana na sample ya wimbo wa zamani wa Roberta Flack na Donny Hathaway wenye jina hilo hilo. Wimbo huo uliandikwa na James Mtume na Reggie Lucas. Beyonce na Luther Vandros waliwahi kurekodi pia version ya wimbo huo.
Video
Audio