Burudani

Aunty Ezekiel awaonya wanawake wanaoangalia pesa na kazi kama kigezo cha mume bora (+video)

Muigizaji wa kike maarufu nchini Tanzania, Aunty Ezekiel amewashauri wanawake wenzie wenye tabia ya kuangalia kipato cha mwanaume au aina ya kazi kwa mwanaume kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano, waache tabia hiyo na badala yake waangalie zaidi mapenzi ya dhati.

Akiongea kwenye usiku wa fainali ya Jibebe Challenge, Aunty amesema kwenye mapenzi hakuna haja ya kuangalia pesa wala kazi na ndio maana hata yeye akaamua kuolewa na Mose Iyobo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents