HabariMichezo

Azam FC yautaka Ubingwa, yasajili straika kutoka Colombia

Katika kuonesha Wanalambalamba Azam FC wanautaka Ubingwa wa Ligi Kuu wameshusha Straika mpya atakayeongeza nguvu eneo la ushambuliaji.

Franklin Navarro mwenye umri wa miaka 24 Mshambuliaji raia wa Colombia aliyetambulishwa kwenye dirisha hili dogo na Azam FC.

Azam FC mpaka sasa inaongoza kwenye msimamo wa Ligi Kuu kwakuwa na alama 31 kwenye mechi 13 ambazo imecheza huku Yanga wakiwa wa pili kwa point 30.

Je, Azam atavunja utawala wa Yanga na Simba Ligi kuu.?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents