Burudani

Baada ya maombolezo kuisha, Mbosso aitaja tarehe mpya ya uzinduzi wa album yake (+ Video)

@mbosso_ amethibitisha kuwa ujio wake ni kwa ajili ya kufanya video ya ngoma yake ambayo amemshirikisha @spice_diana #YES

Pia ameeleza furaha yake ya kufanya kazi na @mbosso_ kwani ni msanii mkubwa.

@mbosso_ pia ameweka wazi muda wa kuizindua Album yake ya #definitionoflove ambaye aliahirisha kutokana na maombolezo ya hayati Rais Magufuli.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents