Habari

Baba wa familia afunguka mazito ‘House Boy’ kuua Mama na watoto wawili (Video)

Familia ya marehemu ameeleza namna ndugu yao Emily pamoja na watoto wake wawili walivyouwawa kikatili na mfanyakazi wa ndani na kueleza jinsi wao walivyolipokea kwa mshituko suala hilo.

Mzee huyo akitoa neno la familia kwenye kanisa la St Martha Mikocheni kwenye ibada ya mwisho, alidai house boy huyo wakati anahojiwa kuhusiana na tukio hilo alikuwa anajieleza kama anasimulia movie.

Amewataka Watanzania kuwa makini na wafanyakazi wao kwani wakae nao kwa makini pamoja na kuwachunguza kiundani zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents