Burudani

Baba yangu alinipa pesa ya kusokota dreads na kutoboa masikio – Sheria Ngowi

Mbunifu wa mavazi nchini, Sheria Ngowi amesema mafanikio aliyoyapata yametokana baba yake mzazi aliyemuunga mkono kwenye kila japo analolifanya.

Sheria-Ngowi-SS2011-2

“Baba yangu alikuwa ananipa uhuru wa kufanya kila kitu nilichokuwa nataka kufanya,” Ngowi ameuambia mtandao wa Dar City Center.

“Hata nilipotaka kuwa mbunifu wa mavazi alinipa support, pesa ya kusokota dreads na kutoboa masikio alinipa yeye.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents