Burudani
Babalevo alakichapo tena
Msanii wa Bongo Fleva Baba Levo amedai kupigwa na Mke wake Mama Ruby.
Baba Levo ameshare kwenye Instagram yake akiandika Mama Ruby amenipiga.
Kosa la Mwanaume kupigwa na Mke wake limekaaje Kisheria??
Via: Babalevo, Written: el_mando_tz.