Burudani

Babu tale atangaza ujio wa Diamond Foundation ambayo itakuwa inajihusisha na kusaidia elimu pamoja na akina mama (+Video)

Babu tale atangaza ujio wa Diamond Foundation ambayo itakuwa inajihusisha na kusaidia elimu pamoja na akina mama (+Video)

Meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale amefunguka juhusiana na ujio wa Diamond Platnumz ambayo itakuwa inajihusisha na kusaidia elimu nchini Tanzania pamoja na akina mama wasiojiweza.

Tale ameongeza ujio huu wa Diamond Foundation wataifanyika kazi hasa wakati wa tamasha la Wasafi Festival ambayo itaanzia mkoa Mtwara mnamo tarehe 24 mwezi huu wa 11,ambapo pia watakuwa wanazungukia vivutio vya kitalii katika kila mkoa.na hasa watakuwa wanazingatia shule za vijijini.

Tale ameongea hayo baada ya uzinduzi wa tamasha hilo katika ofisi za Wasafi jijini Dar Es Salaam pamoja na uzinduzi wa radio yao mpya ya Wasafi Fm.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents