Habari

Bajeti ya 2021/22: Dodoma tumekuja na kilimo sexy and romantic (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma @anthony_mtaka amesema baada ya kusikia Bajeti Kuu ya Serikali 2021/22 tayari umejipanga kuchangamkia fursa ya kilimo kwa vijana wa Dodoma.

Amesema wameandaa mpango wakufanya kilimo sex and romantic ili kuwavutia watu wengi zaidi.

Hayo yamejiri kwenye mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ambao unaendelea kupitia mitandao ya kijamii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents