HabariMichezo

Balama Mapinduzi atua Mashujaa

Klabu ya mashujaa imemtambulisha kiungo mshambuliaji Balama mapinduzi akiwa anatokea kwenye kikosi cha wana Mangushi Coastal Union ya mkoani Tanga.

Balama Mapinduzi amewahi kukipiga kwenye Klabu ya Yanga, Mtibwa Sugar, na Coastal Union.

Amekuwa na rekodi mbaya kuhusu majeraha, ni moja ya wachezaji wenye viwango vizuri sana ila majeraha huwa yanamuangusha mara kwa mara.

Je, Mashujaa ni sehemu sahihi kwa Balama Mapinduzi kufufua makali yake kwa mara nyingine??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents