Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Barnaba afafanua sababu za Alikiba kutohudhuria uzinduzi wa album yake

Akiongea na @el_mando_tz @barnabaclassic aliulizwa kuhusu ukaribu wake na @officialalikiba ni mkubwa sana ila swali je kwanini @officialalikiba hakuhudhuria siku ya uzinduzi wa album yake??

@barnabaclassic ameeleza kuwa alimualika @officialalikiba ila alikuwa Mombasa na kuongeza kuwa ile post moja tu ya @officialalikiba aliithamini sana kwani angeweza kupost vitu vingine.

@barnabaclassic mimi sijawahi kumuongelea vibaya @officialalikiba kwa @diamondplatnumz na pia sijawahi kumuongelea vibaya @diamondplatnumz kwa @officialalikiba

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents