Burudani

Barua ya wazi ya Dj Khaled kwa Buju Banton anayetumikia kifungo cha miaka 10 jela

Dj Khaled wa Marekani ametoa ya moyoni kwa kuandika barua ya wazi kwa star wa Jamaica muimbaji wa Reggae Buju Banton, ambaye amekuwa mtu muhimu katika maisha yake ya u DJ.

Buju na Khaled

Katika Barua hiyo Khaled ameelezea mambo mengi ikiwa ni pamoja na jinsi ambavyo Buju alimwamini miaka ile na kumpa nafasi ya kuzunguka naye katika tour zake bila kujali alikuwa ni Dj wa mitaani.

Banton ambaye aliwahi kutengeneza hits nyingi za muziki wa Reggae zikiwemo Destiny na Champion, mwaka 2011 alihukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa kosa la kufanya biashara ya dawa za kulevya , kinachotarajiwa kuisha mwaka 2019.

Hii ni tafsiri ya sehemu ya barua hiyo ambayo Dj Khaled ameshare katika akaunti yake ya Instagram:

“Barua kwa kaka yangu Buju Banton! Buju aka gargame, hardcore Rasta! Buju nakumiss kaka yangu, dunia inakumiss! Muziki unakumiss! Nguvu ya muziki wako inaniongoza kila siku!

Buju wewe ni mmoja wa wasanii wa kwanza walionishika mkono na kuniamini.

Nakumbuka ulikuwa unaniruhusu nizunguke na wewe katika baadhi ya ziara zako na sitasahau tuliposafiri kutoka NY kurudi Miami na ulikuwa unaimba kwenye ndege na nilikua siamini nimekaa pembeni ya Buju Banton huku nikiwa DJ wa mitaani tu.

Wewe pia ni baba mzuri na mwanaume mzuri wa familia ilikuwa inanihamasisha kuona hivyo. Nakumbuka nilipoenda Jamaica na kuni treat kama mfalme na kunitembeza na kupenda kushinda studio kwenye studio yako.

Sitasahau ulikaa nyumbani kwangu na ulipenda kukaa chini ya mti mbele ya nyumba yangu na majirani zangu walikuwa wakishangaa na kuulizana huyo ni Buju? Na wote wakisimama mbele ya nyumba wakisema Khaled kamleta Buju!Rasta.

Naku miss na najua utarudi nyumbani soon!!! Kwa sasa tutaendelea kupiga kelele FREE THE RASTA BUJU BANTON!!!

Mungu anajua! Mtu naomba ampelekee Buju Banton barua hii, Buju muziki wako ni timeless!!! Jah!!!!”

Hivi ndivyo alivyoandika Khaled:

“LETTER TO MY BROTHER BUJU BANTON! Buju aka gargamel hard core Rasta! Buju miss u my brother the world miss u! Music misses u! The power of your music guides me everyday!

The tune I had a close one yesterday song means the world to me it help me and has put a shield of love around me to keep all evil away from me! Buju u one of the first artist that put there hand on me and believed in and u one the first that loaded me up wit dubs! I remember 15 years ago in every ghetto they would say that Arab kid Khaled has the best buju dubs !

I remember u let me ride wit u on some of your tours and I’ll never forget flying from ny back miami and u was singing on the plane and I was like I can’t believe I sitting beside buju banton and I was so in the streets DJ every dance and they streets knew buju loaded Khaled wit big dubs!

U also a great father and great family man it was always inspiring to see that! I remember when I went to Jamaica And treat me like a king and show me the island and loved hanging out out your studio and everyone would fly in world wide to try get dubs and u would say Khaled pull up the rhythm
and cut dubs so I would be ready for the dance !

I’ll never forget u stay in my apt and u use sit under the tree in from of the crib and my neighbors was is tha buju and the whole block standing in front my crib like Khaled got buju over here ! Rasta!!!! Miss u and I’ll know u be home soon !!!

In the mean time we going keep screaming FREE THE RASTA BUJU BANTON!!! I love my dance hall roots! U want my friends that help me live my dreams! #FREEBUJU! JAH KNOW! Some please get this letter to buju!!!! Buju your music is timeless!!!! Jah !!!!!!!!!!”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents