Burudani

‘Beliebers’ kusherehekea Christmas kwa majonzi, Justin Bieber leo atangaza rasmi kustaafu muziki

Justin Bieber amewapa mashabiki wake (Beliebers) zawadi mbaya kabisa ya Christmas mwaka huu: anastaafu muziki.

Coll-Justin-Bieber-2013-Wallpaper-HD-Free.png

Staa huyo wa Canada ameangusha bombshell hiyo kwenye Twitter na kuvilaumu vyombo vya habari kwa kuandika uongo kuhusu maisha yake.

Ni ngumu kujua kama kweli amemaanisha lakini kutangaza kwake leo ambapo filamu yake ya Believe imetoka, kutampa publicity ya nguvu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents