Habari

CHADEMA wafunguka Tundu Lissu kuzuiliwa kugombea ubunge au urais mwaka 2020 (+video)

Baada ya aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu kuvuliwa ubunge,  CHADEMA wamedai kuwa hatua hiyo inalenga kumzuia kuwania Urais au ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu kwa mwaka 2020.

Hayo yamesemwa leo Juni 30, 2019 na Katibu Mkuu wa Chama Cha hicho, Dkt. Vincent Mashinji wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatua ya maamuzi ya Chama kufuatia tukio hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents