Burudani

Ciara ajifungua mtoto wake wa pili

Ciara na mumewe Rusell Wilson wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza Ijumaa hii.

Wawili hao waliofunga ndoa mwezi Julai mwaka jana, mjini Liverpool, na baada ya hapo wakafanikiwa kupata uja uzito na sasa mtoto wa kike, ambaye wamempa jina la Sienna Princess Wilson.

Kupitia mtandao wa instagram, muimbaji huyo amethibitisha kuongezeka kwa familia yao kwa kuandika, “Dear Sienna Princess Wilson, No matter how big the wave, we will always be your calm in the storm. We Love You.Love, Mommy & Daddy.7:03 pm 7 lbs 13 oz.4.28.2017 Photo By Daddy ❤️.”

Sienna ni mtoto wa pili kwa Ciara, baada ya mtoto wake wa kwanza Zahir Wilburn aliyepata na ex wake, rapper Future takriban miaka mitatu iliyopita.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents