Bongo Movie

[Video na Picha] Cloud 112 anajiandaa kuanika Maisha yake

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=ogWW5-DaWAU[/youtube] Nguli wa filamu Cloud 112 ambaye hivi juzi alipata mtoto katika siku ya Wanawake duniani, hivi yupo Location kwa ajili ya kukamilisha filamu yake mpya ya Maisha.

Katika filamu hiyo ambayo anasema inaelezea maisha halisi ya Mtanzania, ina kisa cha kusisimua huku ikihusisha vichwa vipya katika tasnia ya filamu nchini.

Alisema zaidi ya vichwa vipya katika filamu hiyo, kama Irene, Esha na wengine pia kutakuwa na wakongwe kama Mzee Msisiri, Bi Hindu, swahiba wake wa karibu Barafu, Libert na wengine wakali.

Aidha pia amesema filamu yake ya Toba anatarajia kuizindua mjini Zanzibar kwa mtindo wa kipekee kwa kualika madrasa ya yanayopiga dufu, zikiri na muziki wa Indonesia.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents