Burudani

Collabo ya Ommy Dimpoz na Avril wa Kenya yanukia

Mwaka huu (2015) tutarajie collabo zaidi za wasanii wa Afrika Mashariki, baada ya Weusi kuachia ‘Gere’ East African Remix waliowashirikisha Navio wa Uganda, Collo, Rabbit na Nazizi wa Kenya, collabo nyingine inayonukia ni kati ya msanii wa kike Avril wa Kenya na hit maker wa ‘Tupogo’ Ommy Dimpoz.

Avril & Ommy
Avril na Ommy Dimpoz

Avril amepost picha akiwa na Ommy Dimpoz kwenye Instagram na kuandika kuwa collabo kati yake na Dimpoz inakuja.

“it’s a wrap…2015 grind..no days off…#Hottest254-255CollaborationComingSoon”

avril

Ommy Dimpoz na Avril walitumbuzia pamoja kwenye show ya ‘It’s Our Time to Part On’ iliyofanyika Nakuru, Kenya kwenye mkesha wa mwaka mpya.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents