Michezo

Cristiano Ronaldo asherehekea siku yake kuzaliwa na mwanae na Mama yake

Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo jana Februari 5 alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa alipotimiza miaka 32 akiwa na mwanawe na mama yake.

Huku mchezo wa timu yake wa La Liga dhidi ya Celta Vigo ukiahirishwa kutokana na miale mingi ya moto kurushwa na mashabiki Uwanja wa Rio Alto Balaidos.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents