Burudani

Diamond atoa orodha ya nyimbo atakazoziperformu Wasafi Festival Mtwara, wimbo wa Mwanza ukiwemo

Diamond atoa orodha ya nyimbo atakazoziperformu Wasafi Festival Mtwara, wimbo wa Mwanza ukiwemo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na C.E.O wa lebo ya muziki ya WCB Diamond Platnumz ametoa orodha ya nyimbo 32 atakazoziperformu katika tamasha la Wasafi Festival Mtwara.

Msanii huyo ambayo alikuwa Dubai alipoenda kuhudhuria na kufanikiwa kufanya Show katika tamasha kubwa la One African Music Festival ambalo walipafomu wasanii wengi sana kutoka Afrika aliporejea aliandika ujumbe huu:-

Na baada ya muda kidogo aliweza kuorodhesha nyimbo atakazo zitumia katika show ya Wasafi Festival ambazo jumla ziko 52 na wimbo wa 52 ambao ni Mwanza akitahadharisha kwamba atautumia hadi pale atakapopewa ruhusa maana umeshafungiwa.

nyimbo hizo ni hizi hapa:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents