Usiku wa leo Mashabiki wa @yangasc na wapenda soka huwenda wakagawanyika pale Ivory Coast kwenye Michuano ya AFCON ambapo Mali na Burkina Faso zitakapo menyana.
Mali ya golikipa wa Yanga, Djigui Diarra dhidhi ya Burkina Faso ya Stephane Aziz Ki patachimbika.