Michezo

El Clasico: ‘Real Madrid lazima wapange beki zake vizuri, Messi atawaadhibu,’ – Mchambuzi Abbas Pira (+Video)

Kuelekea mtanange wa kukata na shoka wa El Clasico baina ya miamba ya soka kutoka Hispania Real Madrid dhidi ya Barcelona utakao pigwa tarehe 1/ 03/ 2020. Mchambuzi wa soka anayekuja kwa kasi nchini Abbas Pira ameuzungumzia mchezo huo na nafasi ya kila timu.

Mshambuliaji hatari duniani, Lionel Messi atakiongoza kikosi cha Barcelona kwenye dimba la Bernabeu siku ya Jumapili ikiwa ni El Clasico yake ya 42 mbele ya Real Madrid.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents