Michezo

EuropaLeague: Arsenal waichakaza FC Cologne (+Video)

Klabu ya Arsenal jana imefanikiwa kuitwanga klabu ya FC Cologne goli 3-1 kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Europa League.

https://youtu.be/2BsbjicRc6M

Magoli ya Arsenal yamefungwa na Sead Kolasinac 49′, Alexis Sanchez 67′ na Hector Bellerin 82′ huku goli la kufutia machozi la FC Cologne likifungwa na Jhon Cordoba kunako dakika ya 9 ya kipindi cha kwanza.

Matokeo mengine ya ‘Kundi H’ klabu ya FK Crvena Zvezda ililazimishwa sare ya goli 1-1 nyumbani dhidi ya BATE Borisov.

Kwa sasa Arsenal wanaongoza kundi hilo kwa alama 3 wakifuatiwa na BATE Borisov yenye alama 1, Matokeo ya mengine ya mechi za Europa League ni kama ifuatavyo

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents