Burudani
Exclusive Video: Nick wa Pili akiongelea wimbo wake mpya ‘Staki Kazi’
Wiki ijayo rapper wa Weusi, Nick wa Pili ataachia single yake mpya ‘Staki Kazi’ aliyowashirikisha Ben Pol na G-Nako. Mtazame hapa akiuelezea wimbo huo.