Burudani

Feza Kessy awa msanii wa tatu kusaini mkataba wa usimamizi na Panamusiq

Baada ya waimbaji Ben Pol na Linah Sanga kusaini mikataba ya usimamizi na kampuni ya kusimamia wanamuziki ya Panamusiq, aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye BBA 2013 ‘The Chase’, Feza Kessy naye ameongezeka kwenye orodha.

Feza Pana
Feza akisaini mkataba mpya wa usimamizi

Feza ambaye pia aliwahi kuwa chini ya kampuni ya Unity Entertainment ya AY, amesaini mkataba wa muda mrefu na kampuni hiyo ambayo imesema kuwa mkakati wao ni kumtambulisha vizuri Feza kwenye soko la Tanzania na baadaye kuhamia soko la Afrika na nje ya Afrika.

“Our strategy is to establish Feza in the local Tanzanian market first and then develop her brand internationally in both the African continent and across the world” alisema Doreen Noni, mkurugenzi wa Panamusiq.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents